Have a sustainable water well and storage dam with value for money

Construction of dams

Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mbwawa (DDCA) unajenga Mabwawa yenye ujazo wa chini, ujazo wa kati na ujazo mkubwa kwa gharama nafuu.

Taratibu za kufuata kuchimba bwawa.

  • upembuzi yakinifu
  • usanifu wa bwawa
  • upimaji wa udongo wa kujengea bwawa
  • malipo yatategemea na gharma za usanifu