Have a sustainable water well and storage dam with value for money

Maji Week

  • Event Date: Thursday 16th, March 2017 - Wednesday 22nd, March 2017
  • Time: 10:05 am - 04:30 am
  • Location: DDCA HQ and ZONE OFFICES
  • Audience: Staffs

Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) inaadhimisha wiki ya maji mwaka huu kwa kutoe elimu kwa wateja wake ili wajue hatua za kufuata wakati wa uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa. Elimu hiyo inatolewa kwenye ofisi za wakala makao makuu pamoja na ofisi za kanda zilizoko mikoani. Nia na madhumni ya utoaji wa elimu hii ni kuwaelimisha wadau wetu namna bora ya kupata kisima na bwawa bora kwa kujajali thamani halisi ya pesa ya mteja. kauli mbiu ya wakala ni;-


     '' Pata kisima na bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako''