Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Nifanyeje

  • Kununua mashine ya vigae au matofali ya kufungamana

    -Lipa pesa kiasi cha Tshs 650,00/= kwa mashine ya matofali ya kufungamana na Tshs 250,000/= kwa mashine ya vigae kwenye akaunti na 20101100130 NMB kisha wasiliana nasi kupitia anwani tajwa hapo juu. Kwa walio nje ya Dar es Salaam watatakiwa kuongeza kiasi cha fedha kwa ajili ya kusafirishiwa mashine hizo.

  • Office Location

    Copyright © 2018 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho